Chama tawala na upinzani haviwezi kuwa na ushabiki kama wa Simba na Yanga?

Chama tawala na upinzani haviwezi kuwa na ushabiki kama wa Simba na Yanga?

marashi ya pwani

Senior Member
Joined
Sep 30, 2024
Posts
120
Reaction score
132
Kama hutuwezi kuvumiliana katika hili basi hakuna haja ya kuwa na vyama vingi

Shabiki wa YANGA na Simba wanapata huduma sawa na hakuna kati Yao anaeoneka si BINADAMU sahihi

Lakini Leo inafikia hatua ukiwa chama Cha upinzani unaonekana mpinga maendeleo mleta vita mtu usie stahili katika jamii Kila sifa mbaya ya kwako

Hata zinapokuja fulsa mbalimbali wanapewa vipa umbele wa chama TAWALA

Binafsi sijui katiba pia sijui nani alipendekeza kuazishwa kwa vyama vingi na sijui vimeanzishwa kwa lengo gani

lakini tulikofikia si tanzania Africa kwa ujumla mfumo wa vyama vingi hatuuwezi tutafute namna nyingine

Napendekeza selikal iliyo madarakani kuvifuta vyama vyote vya upinzani kiwe Chama kimoja tu kinachotawa ili undugu wetu ujamaa uludi

Muongoze bila kupingwa kwa miaka 5 Kisha tuone sisi wenyewe wananchi kama Kuna umuhimu wa kuwepo vyama vya upinzani au laah
Na ndio tutajua wanayopigia kelele wapinzani Yana faida gani kwetu

Nina mengi ya kuongea acha niishia hapa
Nisije nikapitwa mda wa daku
 
Kuna wakati CCM huwa wanajiona ndiyo viumbe pekee wenye hati miliki na hii nchi! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom