mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Mar 3, 2024 #21 Kuna watu wamenunaa.
T The Wing JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 1,135 Reaction score 1,828 Mar 3, 2024 #22 chaneee said: Chama ni mchezaji wa mechi ndogo ambazo hazina pressure Click to expand... Hatofautiani na Feisal Toto
chaneee said: Chama ni mchezaji wa mechi ndogo ambazo hazina pressure Click to expand... Hatofautiani na Feisal Toto
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Mar 3, 2024 #23 Yanga Mpumzisheni Chama. Wala hana habari ya mlinganisho wenu kwa kila mchezaji wenu.
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Mar 3, 2024 #24 Rocco sifredi said: Sijawahi kumuita chama mzee labda sio Mimi Click to expand... Anakufananisha na mashabiki lopolopo...kuna mashabiki lopolopo yasiyo kuwa na simile na wachezaji wao kama wao ni malaika hawafanyagi makosa...hakuna haja ya kumponda mchezaji aliekusadia takribani vipindi vi 3 mfululizo...
Rocco sifredi said: Sijawahi kumuita chama mzee labda sio Mimi Click to expand... Anakufananisha na mashabiki lopolopo...kuna mashabiki lopolopo yasiyo kuwa na simile na wachezaji wao kama wao ni malaika hawafanyagi makosa...hakuna haja ya kumponda mchezaji aliekusadia takribani vipindi vi 3 mfululizo...