Chambua kama karanga: Diamond aliona mbali✔

Katika hili naungana mkono na timu zote. Huwezi amini wapinzani wakubwa ndiyo watumiaji wa hii kitu. Ahsante Chibu, hata mtani wetu Mchambuzi jioni anajiburufisha na Mondi Karanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…