Chambueni hili tukio

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,226
Reaction score
1,757
Habari zenu JF.

Mwaka 2015 niliingia benki flani Mida ya asubuhi kwenda kutuma pesa za ada ya chuo.

Cha ajabu ile nasukuma mlango niingie ndani kuna mfanyakazi mmoja Wa benki alikurupuka ghafla akiingia chumba kimoja wapo cha benki kiasi cha kuangusha laptop ya reception.

Nilijiuliza mengi sikupata majibu mpaka Leo hii. Hata wenzie walishtuka.

Nb: Simjui wala hanijui. Je, hii ilikuwa nini?
 
Ikiwa uliyekuwepo eneo la tukio hujui sisi ambao hatukuwepo tutajuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…