Chameleon Converts To Islam, Now called ‘Gaddafi’

Watanzania bana, dini kabadili Chameleon nyie uku Tanzania mnaleta porojo, acheni kuingilia maisha ya watu!
 
Kaingia Chaka!
'' Anayeongoka, basi anaongoka kwa maslahi ya nafsi yake mwenyewe, na anayepotea, basi anapotea kwa hasara (ya nafsi) yake mwenyewe. Wala hatabeba mbebaji mzigo wa mwingine. Na Sisi si wenye kuwaadhibisha (viumbe) mpaka tuwapelekee Mtume (ili awafahamishe yaliyo ya haki) Quran:17:15
 
Inaonesha ni namna gani hamjakomaa na mna mawazo mgando.hivi mnafahamu chochote kuhusu haki za binaadam?hivi mnafahamu chochote juu ya uhuru wa kuabudu?acheni kumkashifu.chamilion kama binaadam ana uhuru wa kuchagua imani yeyote aitakayo ambayo kwa mtizamo wako ni sahihi.kama imani aliyohamia huipendi au una chuki nayo,kaa kimya usichangie kwani uchaguzi wa imani ni suala la mtu binafsi.usifanye kila mtu aamini unachokiamini wewe.au achukie unachochukia wewe.tupevuke jamani!!HONGERA SANA TENA SANA BW GHADAF CHAMILION na nakutakia kila la kheri katika utekelezaji wa imani yako mpya.HUU NDO UHURU WA KUABUDU JAMAN!
 
kaingia choo cha kike huyo....ameruka jivu kauvagaa moto...loo aibu saaana
 
kila mtu ana uhuru wa kuabudu ktk dini yyt MSIINGILIE UHURU WA CHAMILION KAAMUA KUWA MUISLAMU MWACHENI AMEAMINI KUWA UISLAM NDO DINI YA KWELI ITAKAYOMPELEKA MBINGUNI. JE WEWE UNAYEMDHIHAKI KW KAPOTEA NJIA WE UNAJUAJE KUWA UKRISTO NDO DINI ITAKAYOKUPELEKA MBINGUNI WKT KANISANI HUENDI NA UKIENDA NI MARA 1 KWA MIEZ 3, FUNGU LA KUMI HUTOI ILIMRADI UNAJIITA MKRISTO TU UNAAMINI UKO SAHIH KULIKO MUISLAM. NAKUULIZA WW UNAYEMKASHF CHAMELEON DINI ILIYOBORA NI IPI??
 
kaingia choo cha kike huyo....ameruka jivu kauvagaa moto...loo aibu saaana

Bhwana awe NYANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ale pia MAWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!
 
Well spoken mkuu, naona Jose kachanganywa na kitu iitwayo 'mdudu rushwa'.
 
mungu amemuongoza kuujua ukweli, na hii ni kazi ya mungu lakini watu wengi hawajui. ALLAH anasema INNA DINA IN NDALLAH AL ISLAM, dini ya haki mbele ya mwenye enzi mungu ni uislam. ikiwa utabisha unabisha kwa ujinga.
mimi nabisha kwasababu unaandika ujinga,kaa mbali usije kututia ujinga.
 

Huyu mvuta bangi, hovyo. nakumbuka alivuta bangi nyingi/madawa ya kulevya akaruka toka juu ya ghorofa akaumia. Huyu akili yake imeshakuwa chafu. hata muziki wake hauvumi tena. Bangi mtu, mtu bangi
 
Dini iliyobora ni kuwasaidia yatima na wajane, kumbuka dini haimpeleki haimpeleki mtu mbinguni bali imani yake
 
mwanamuziki maarufu jose chameleon amesilimu na kuwa muislam, maamuzi hayo aliyachukua ijumaa iliyopita katika msikiti wa kibuli mjini kampala huku akiambatana na marafiki zake Haruna mubiru. taarifa zaidi soma mzalendo la leo habari za michezo.
 
ngoja aende kuomba visa ya kuingia usa....lol
 
Inawezekana tuu, mbona Michael Jackson alisilimu na mwanamasumbwi Mike Tyson nae alisilimu?... Ni jambo la kawaida tu...
 
Aache Baghi na Maulevi. . . ! Karibu kwenye Uislam Bwana Gadaf. . . .
Je ajafulia ? Imewahi kutokea kwa Michael Jackson na Mike Tyson, lakini matatizo ndio yaliwaleta kwenye Uislam wala si imani. !
Ramadhan Njema bwana Gadaf Chameleon
 
Aache Baghi na Maulevi. . . ! Karibu kwenye Uislam Bwana Gadaf. . . .
Je ajafulia ? Imewahi kutokea kwa Michael Jackson na Mike Tyson, lakini matatizo ndio yaliwaleta kwenye Uislam wala si imani. !
Ramadhan Njema bwana Gadaf Chameleon

Kwa hiyo unatuambia sie makabwela tuliofulia tuingie Uislam kuna neeema za Duniani na Mbinguni!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…