Chameleon- Tubonge

Chameleon- Tubonge

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Chameleon new hit 'tubonge' is a killer from video to audio...
 
Tubonge is a gospel song, its really hot...
The guy's songs move me.
 
Dah huyu jamaa ana vitu vingi vya ziada,mi mwenyewe uwa sichok kuitazama hii video...its too emotional aiseeh jamaa is a killer
 
"I don't know what to do,to do i'm waiting for u"
 
Sibishi mkuu lakini make me believe if the song is really gospel. Mm sijasikia neno lolote la gospel hapo so maybe unijuze zaidi
 
Sibishi mkuu lakini make me believe if the song is really gospel. Mm sijasikia neno lolote la gospel hapo so maybe unijuze zaidi

Hata Mungu baba haujasikia?
 
Katika wasanii wanaoimba music kwangu Dr. Kinyonga atabaki kuwa mwanamziki pekee ambaye kwake wengine wanafata katka ukanda huu wa EA,Kwa ubora. Huimba wakati mwingine Kiganda ambacho sikifaham, still nasuuzika kwa melody na bits tam. Jamaa anaweza.
 
Sibishi mkuu lakini make me believe if the song is really gospel. Mm sijasikia neno lolote la gospel hapo so maybe unijuze zaidi

nilisikia wakati akitambulisha wimbo huu,alisema ni gospel song..
may be ndo modern gospel hyo..
 
Katika wasanii wanaoimba music kwangu Dr. Kinyonga atabaki kuwa mwanamziki pekee ambaye kwake wengine wanafata katka ukanda huu wa EA,Kwa ubora. Huimba wakati mwingine Kiganda ambacho sikifaham, still nasuuzika kwa melody na bits tam. Jamaa anaweza.

true sometimes lugha sio sababu ya ubora wa wimbo..jaribu kutafuta wimbo wa AZZIZ AZION-NKUMILA OMUKWANO..
 
Ukisikiliza mwanzoni huo wimbo utasikia anasema GOSPEL TIME.
 
Sibishi mkuu lakini make me believe if the song is really gospel. Mm sijasikia neno lolote la gospel hapo so maybe unijuze zaidi

Hilo ni gospel mkuu maana anaanza na tubonge chamelion tubonge mungu baba. Tubonge gospel time..........
 
Inabidi tu nikukubalie kwa sasa ila naendelea kufuatilia kujua ukweli kama ni gospel au la caz I love gospel
 
Napenda ile line anasema "ningelikuwa na nambari ya simu........."
 
Inabidi tu nikukubalie kwa sasa ila naendelea kufuatilia kujua ukweli kama ni gospel au la caz I love gospel

Ungekuwa na mahali unaishi, ninge kuja nikuone hata ingekuwa mbali vipi,
ungekuwa na nambari ya sim, facebook au twitter, lakini sura ulificha..

Unaelewa nini about those rhymes???
Nani hana simu, facebook au twitter in this era?
Who actually can't be seen??
 
Mkuu ineelekea song imekubamba vilivyo basi shusha wimbo mzima kama ulivyo hapa tuuchambue tupate ukweli
 
Back
Top Bottom