GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 370
- 636
Msanii nguli kutoka Uganda Jose Chameleone amefunguka na kusema kuwa haoni tatizo lolote la msanii Diamond kutoka na mrembo Zari wa Uganda.
Mapenzi ya Diamond na Zari ambayo yamekuwa na umaarufu mkubwa sana Afrika Mashariki yamezungumziwa na Jose Chameleone wakati akiojiwa na mtandao wa Ghafla wa nchini Kenya.
"Kama wanapendana sioni tatizo" alisema msanii Chameleone. Kauli hii inakuja baada ya Diamond kutangaza hivi karibuni kwamba anatarajia mtoto kutoka kwa Zari.
Alipoulizwa kuhusu kazi ya sanaa ya Diamond, Chameleone alitoa maoni yake : Ni msanii mzuri sana, idadi ya wasanii wazuri Afrika Mashariki inazidi kuongezeka, ndio maana muziki wetu umeanza kuchezwa Nigeria sababu nguvu ni kubwa kutoka Afrika Mashariki.