Chameleone aokoka baada ya yaliyomsibu

Chameleone aokoka baada ya yaliyomsibu

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
By Stephen Senkaaba

The two accepted Jesus on Thursday evening after Kenyan evangelist Annabelle Renno preached and prayed for them at Kololo Hospital, where Chameleone was admitted on Wednesday morning after a brawl.

Annabelle, an apostle from Without Walls Evangelistic Ministries in Kenya, entered Chameleone's hospital room at about 4:00pm without the musician's knowledge and by the time she left at 7:00pm, the musician was singing Alleluiah.

After preaching for a while, she asked Chameleone whether he knew Jesus, to which the singer answered, "I know him and he knows me."

The apostle then said on Wednesday God asked her, in a dream, to go and save Chameleone from his troubles. He said he wanted to use him through singing.

"God asked me whether I knew Yusuf Chameleon. I had no idea who he was," she said.

The apostle then asked Chameleone what he wanted God to do for him. "I want Him to have mercy on me," Chameleone answered.

Asked whether they were willing to give their lives to Christ, Chameleone and his wife said yes.

The preacher led them in a one-on-one prayer confession, in which the couple vowed to turn away from sins they had committed in the past and pledged to denounce satanic practices.

An unconscious Chameleone was admitted to Kololo Hospital on Wednesday morning after a fight with businessman Meddie Sentongo in Kampala. The incident comes just two months after Chameleone fell off an Arusha hotel balcony and broke both legs.

The singer is not the first secular celebrity to get saved. Pastor Roger Mugisha, formerly of the Shadows Angels, gained fame in the late 1990s due to his group's erotic shows. Later he got saved and confessed he had been engaged in devil
 
Nategema ya kwamba sasa atatulia na kukaa karibu na Muumba Kwani huko ndo kunakopatikana fadhiri na rehema.
 
Hili la kumrudia Mungu after Crisi kama hiyo ambayo angeweza kuikwepa......ni tabia yake tu mwenyewe wala simsingizie shetani apo hahahahahahah

Sasa ataachana na muziki wa kidunia apige gospel au inakuwaje? Manake ugomvi inasemekana umeanzia kwa msichana anaitwa Dorotea......
 
Mkuu Kaizer, Time will tell....lets wait and see
 
Hili la kumrudia Mungu after Crisi kama hiyo ambayo angeweza kuikwepa......ni tabia yake tu mwenyewe wala simsingizie shetani apo hahahahahahah

Sasa ataachana na muziki wa kidunia apige gospel au inakuwaje? Manake ugomvi inasemekana umeanzia kwa msichana anaitwa Dorotea......

Kaizer,
Hakuna anayeokoka bila crisis. Hiyo unayoita crisis ndio dhambi hasa inayomtenga mwanadamu na Mungu wake. Hivyo basi bila Crisis hakuna wokovu.
Neno la Mungu mwenyewe linaonyesha engineer wa dhambi ni Shetani. Hivyo na crisis kama dhambi inaanzishwa na Shetani huyo huyo.
Ni maombi yangu kwamba Chemeleon asibanduke kwa Yesu maana hapo ndipo kuna pumziko la kweli la crisis.
It happened to me na nikapata suruhu ya miaka 13 sasa. Naamini na yeye atapenya kama amemaanisha.
Kuhusu kuimba nadhani sasa ataimba gospel. After all ni ukweli usiopingika kwamba gospel ndio muziki pekee unaolipa kuliko miziki yote unayojua.
Habari ndiyo hiyo.
 
God is great!

Amefanya maamuzi ya busara, ni wakati mzuri wa kila mtu kumrudia mwenyezi mungu.
 
compared to others, huyu kijana ndiyo anaongoza kuimba nyimbo zenye maana, itakuwa rahisi kwake kuimba nyimbo za kumtukuza mungu bila shida.

Mungu ambariki.
 
Hii na mara ya pili alishwahi kuokoka kabla then akamrudia tena shetani naona safari hii atatulia sasa maana kwa kweli MUNGU anamhitaji aubiri injili na kumtukuza kupitia kipaji chake kikubwa cha kuimba.

Janga la kuanguka gorofani na hili la kugongwa na gari nalifananisha na Nabii Yona ambaye aliitwa na Mungu akakaidi na kukimbia...Mungu hakimbiwi Jose...Bwana Asifiwe sana.
 
Be blessed Chameleone na Mkeo. Yesu anawapenda.

Kwa wale wote wasiojuwa wapi wanakwenda, basi fuateni mfano wa Chameleone. Mlango bado upo wazi. Kwa sala ya toba, nenda jukwaa la dini, ipo sala huko itakayo kuongoza au PM Max.
 
View attachment 4218

...sheytani ana nguvu za ajabu, acha sie tukaselebuke na Kwaito!
 
Back
Top Bottom