Nae Shigongo aliingiaje mkenge? Nao waganda chiboko kwa utapeli
Shigongo anashikilia passport ya Chamillion kwa idhini ya nani?
Amekosa busara, kweli ndani ya CCM hata walokole ni mapunga zeze
Kama ni kweli Shigongo anayo hiyo passport...na hajaisalimisha Polisi ndio waishikilie...analo. Kesi ya madai ni dhahiri hapo na atalipa mamilioni. Kuna ushahidi kuwa alimpa Chameleone hizo $3,500!?
Shigongo anashikilia passport ya Chamillion kwa idhini ya nani?
Amekosa busara, kweli ndani ya CCM hata walokole ni mapunga zeze
si vizuri kumtukana mtu bila kumsikiliza.Shigongo ni taahira tu, hana ishu