Champion Investment matapeli Mwanza

Siyo kujidhalilisha mkuu nimeandika kuwatahadharisha wengine lakini pia wahusika wajue kuwa sitakaa kimya nakula nao sahani moja mpaka kieleweke.
Vp ulikula nao sahani moja? Mpaka leo hii wapo wameniunga kwa grp yao
 
Hivi kwa akili ya kawaida inawezekanaje mtu ukaamini kwamba unaweza pata return ya uwekezaji 100% ndani ya siku 3. Ingekuwa rahisi hivyo watu wasingekuwa wanasave pesa bank wangepeleka huko tu ziwe znadouble tu.
Jamani tuwe tunatumia akili kufanya reasoning. Pole ila ni uzembe.
 
Jamaa wapo kikazi zaidi,ukienda kichwakichwa unaangukia pua😟
 
Duh! pole mkuu siwezi kukucheka.....kwenye kutapeliwa hakunaga mjanja, siku ikifika tu unaweza kuingizwa kingi.
 
Duh! pole mkuu siwezi kukucheka.....kwenye kutapeliwa hakunaga mjanja, siku ikifika tu unaweza kuingizwa kingi.
Kutapeliwa ni uzembe,papara au tamaa.Ukiwa hauna hivyo vitu kamwe huwezi kutapeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…