Ndio ni bora, tangu ligi ya hispania ipoteze ubora hasa kwa ubovu wa timu mbili za mjini madridJe ligi ya uingereza ni bora kuliko ligi zngne za ulaya??yaingiza timu nne robo
TAFAKURI
Je ligi ya uingereza ni bora kuliko ligi zngne za ulaya??yaingiza timu nne robo
TAFAKURI
Ni ligi yenye ushindani ndio sababu ya kuingiza timu nne kaka.... ligi bora spain huko ndo ndio kuna sexfutball shekhe
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia mpira wa uingereza alafu angalia wa spain ipi inavutia?Kwani ubora wa ligi ni sexfitball
Hapa kazi ipo mkuu sio poa kw kweli, lakini sio mbaya ngoja tuone mpira ni matokeo na wote wanaingia wakiwa na ndoto za ushindi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manchester United akitoboa hapo basi asilimia 51% ubigwa ni wake
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Angalia mpira wa uingereza alafu angalia wa spain ipi inavutia?
Sent using Jamii Forums mobile46 app
Umewah kuangalia ligi ya brazili au argentina??
Tmu zote za uingereza zimekutanaa na timu mteremko sana sio bora wala nn man cty vs shake o4 spurs bs Dortmund dhaifu sn iziJe ligi ya uingereza ni bora kuliko ligi zngne za ulaya??yaingiza timu nne robo
TAFAKURI
Tmu zote za uingereza zimekutanaa na timu mteremko sana sio bora wala nn man cty vs shake o4 spurs bs Dortmund dhaifu sn izi
Sent using Jamii Forums mobile app