Champions League Final (Barca, Juventus)

ngoja barca tumchinje juve 5 ili tuwakate vidomodomo kabisa
 
ngoja barca tumchinje juve 5 ili tuwakate vidomodomo kabisa

kama nyie mlivyopigwa 4-0 na AC Milan katika FAINALI ya UEFA champions league mwaka 94 na kuwapoteza kabisaa kwenye ramani ya Soka mpaka mwaka ambao Nabii wa mwisho wa Soka alikuja kufanya yake...
 
kama nyie mlivyopigwa 4-0 na AC Milan katika FAINALI ya UEFA champions league mwaka 94 na kuwapoteza kabisaa kwenye ramani ya Soka mpaka mwaka ambao Nabii wa mwisho wa Soka alikuja kufanya yake...
nani kapotea kwenye soka nyie milan au barca huwez niambia et dinho katuokoa kwani mwaka 92 tulivyotwaa uefa alikuwepo?? nabii wa mwisho ni mchawi yule mtoto kabali yao anayekupa presha na aliyekufanya uzimie dk 6 baada ya goli lake dk 6 mkila 4 -0 huku greatest akipiga 2 sasa utamkubalije huyo mtu na sio wewe tu anampa presha hata yule pele mr.offside
 
mimi napenda mtangazaji anapo sema now chielin to pogba halafu machzio pirlo vidal tevez goooooo unbeliv
 
mimi napenda mtangazaji anapo sema now chielin to pogba halafu machzio pirlo vidal tevez goooooo unbeliv

Line Up ya Barca bila shaka itakuwa kama ifuatavyo.
Formaion ni 4-3-3.
Ter Stegen (Golini)
Dani Alves, Javier Mascherano, Gerad Pique na Jordi Alba kwa upande wa Mabeki. Usitegemee Tevez na Morata wakafurukuta mbele ya Mnyama Mascherano, wangekuwa na wachezaji wenye kasi sana wangeweza kuwakimbiza beki za Barca.
Viungo ni kama Ifuatavyo.
Sergio Busquets, Ivan Rakitic na Andres Iniesta(Team Captain). Sahau Pogba, Pirlo na Vidal, hakuna makosa yanayoweza kufanyika na Wana Barca kuruhusu viungo wa Juve kukaa na mipira kisha kutuma though ball, na kwa mfumo wa Barca ni ngumu sana viungo wa timu pinzani kucheza mpira watakavyo.
Washambuliaji sasa.
Neymar Jr, Louis Suarez na Lionel Messi. Hapa kwa Ushambuliaji sitaki kuzungumza, utajionea mwenyewe mkuu.

USHAURI: Kama wewe ni mtu wa kubet basi usifanye upuuzi wa kusema Barca hatobeba Kombe.
 
team ng'atang'ata nipo nimetulia, wapi suarez
 
JUVENTUS NDO BINGWA WA UEFA MWAKA HUU.....
Kama kuna MTU anabisha aje hapa nimpe ushuhuda wa Mbwa ambaye yupo mji wa Naples....
Ambaye pia alitabiri kwamba Bayern na Real Madrid watatolewa katika Nusu Fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…