Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Wapenda soccer wote tunasubiria final hapo Madrid. Mechi hii huenda ikachezeshwa na refarii wa kiingereza Mr Howard Webb.
Nampenda Mourhino ila sifurahii mafanikio yake 🙂
My prediction goes for Bayen especially with the tricks of Robben on the wing and the prolific finishing of their striker Olic. Ila Inter Milan wana defense nzuri sana wakitangulia basi mechi itakwisha 1-0. Ila Bayen wakitangulia basi mechi itakwisha 2-1
Timu zote hizi zimekuwa na mafanikio kwenye nchi zao zote nimewin double kama Chelsea in England....nani kati yao atachukua kikombe cha tatu?
Wakuu wengine tujadiliane