Na wewe mkuu hamia mjini ! Mechi ni Jumamosi Ijayo mkuu
Go inter............mimi Inter bana, tutashinda tu.
Toa basi sababu mkuu! Usiwe kama wale wazee wa Dar es Salaam, kuna mmoja aliulizwa ulikuwa unashangilia nini kwenye hotuba...yule mzee akasema tualiambiwa tuwe tunashangilia raisi akiongea ebooo....!
hahaaaa mkuu watakusikia wenyewe iwe tabu..nakumbuka JK alisema kuongeza mshahara haiwezekanii..duhh suprosingly akina mama wakalipuka kwa vigelegele mpaka mi nikashangaaa hawa wanashangilia nini
Hahahahaha wale waliambiwa kazi yenu ni kushangilia tu! na kweli walishangalia shida walipoulizwa kipi kilichowafurahisha...? wengine hawana majibu wengine ndo hivyo ilikuwa kazi yetu ile!
Toa basi sababu mkuu! Usiwe kama wale wazee wa Dar es Salaam, kuna mmoja aliulizwa ulikuwa unashangilia nini kwenye hotuba...yule mzee akasema tualiambiwa tuwe tunashangilia raisi akiongea ebooo....!
yaani katika maisha yangu hakuna kipindi napata kichekesho kama nikisikia JK anataka kuhutubia....wakati wa WEF ndo nilichoka kabisa...yaani prezida understanding ya vitu iko theoretical mnooooooo....yaani anazidiwa hata na muhuni Tshivangarai .....Zenawi anaongea vitu vimekwenda shule haswa...aaaah Salim nakuliliaaa prezidenti wangu yaani wewe ndo ulistahili basi tu
Kiongozi acha utani we tunakula bata wote hapa mjini na leo unasema upo Vidunda! Karata yangu wadau nwamwaga kwa Inter hasa ukizingatia bayen kama vile wapo pungufu tayari kutocheza kwa Ribery ni penngo kwao.Game itakuwa nzuri hasa nikiangalia viwango wa hizi timu kwasasa hakuna wa kumbeza au kumtambia sana mwenzake they are at the same level.mi babu yenu huku vikindu hakuna TV wala umeme hebu niambieni mechi hii lini nijisogeze kwa mpwa wangu pale Mbagala zakiemu