Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kweli kabisa kakaNi sneider kaka,nafikiri angefanya the needful kazi ingekuwa imekwisha
Aisee..nimekusoma!..btw,Bayern wameelemewa au mcho yangu!..mh
Ngosha inaanza kula kwako tarrtiib
Kweli kabisa kaka
It can go wither way, i don't think Celtix can be trusted..mkuu leo unamatumaini na SUPERMAN au usha-throw towel??
Bayern kama wanataka ku-compete kwene hii fainali inabidi wamove the ball quicker in the midfield na waongeze penetration la sivo msiba mwingine kwa Ngosha unanukia. Wakiendelea na wanavocheza sasa watapigwa jengine maana naona defence yao ni kituko.
Duh, umekuwa sheikh Juma siku hizi? Bayern wanaonesha hawajajiandaa na challenge ya Inter kinyume na nilivofikiri. Jiandae na Inter kupack bus zaidi sasa.Bwana wee...ila kale kandoto nilikokuambia ka 2-1 niliota kwamba Milito kafunga goli la Inter..........Bayern wamecheza vizuri dakika 30 za mwanzo,tatizo ni ufyongo katika umaliziaji.......Inter wanafanya mashambulizi ya kushtukiza........Eto'o kafinywa sana 1st half hii..................Ngoja tusubiri kipindi cha pili.....Game ni nzuri sana leo.....Inter wawe waangalifu,hawa Bayern hawatabiriki hata kidogo.....hasa pale mbele Robben,Olic,Altintop
Kasi ya Olic na Arjen nadhani wazijua........Pia kuna Altintop pale.........Akina Lucio na Samuel inabidi wawe waangalifu sana na hawa jamaa...........nyways....ngoja tusubiri kipindi cha pili tuone..............Btw......Mpemba,ile ilikuwa ni ndoto tu bana..............Si kwamba mimi ni Bayern damu.........hahaaaaaaaaaaaa
Mods wanakusalimia
mpira uko 50/50 ila INTER wakiwa na mpira wako dangerous kidogo kuliko BAYERN ambao wanatumia muda mwingi ku-pass the ball mbele ya box la inter
Mtaalam Snider ndiye alipika goli mama nanihii. Aliekosa goli sijaona vizuri ni Sneider au Cambiaso the Argentine.