Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Millito kafunga magoli muhimu, lakini nadhani mchezaji aliyenifurahisha na kucheza kiwango cha juu ktk mechi zote muhimu ni Walter Esteban Cambiaso..huyu anastahili kuwa kiungomkabaji bora wa CL ya mwaka huu kaa sio mchezaji bora.Milito ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka huu hakuna Ubishi
Mzee umeanza kufuatilia soka la Ulaya lini? Baada ya Madrid timu inayofuatia ktk kuchukua kombe hili Milan 1899 a.k.a Rossoneri. BTW, Etoo amefurukuta kwene goli la pili amechangia, lakini straika wako Olic alikuwa anarukaruka tu uwanjani.
Ngosha et al, straika wako Bendtener anaeza funga goli mahiri kaa lile la pili la Millito? just an open question..
Ngosha et al, straika wako Bendtener anaeza funga goli mahiri kaa lile la pili la Millito? just an open question..
Kweli kamanda,hats off for MOURINHO....surely he is THE SPECIAL ONE 2 CHAMPS LEAGUE TITLES,2 PL TITLES,2 SCUDDETTO next stop SANTIAGO B
''He always come,win and go....HE TALKS THE TALK and WALKS THE WALK''
Straika'angu ni RVP bana..............Huyo Bendtner daima simkubali....huwa namkataa wazi wazi...........Jibu ni.....hawezi kufunga
Huu ndio mkakati bomba wa kubahatishia mema unachokipenda!Sijui kwa nini hata mie Bayen si wangu, lakini inabidi tukubaliane na ukweli kuwa watashinda pengine 2-0
Bwa ha ha ha ha..
Of course mastraika wote wa Rosso wana kiwango , ukianzia Borrielo, dogo Pato, Huntelaar mpaka kibabu Inzaghi..Bwa ha ha haa nini sasa.....Umeuliza swali nimekujibu..........Cha msingi utueleze kama straika wa timu yako aweza funga goli kama lile
Kweli kamanda.mzee acha utani...hayo magoli wanafunga watu wazima vichwa vimetulia..............
Of course mastraika wote wa Rosso wana kiwango , ukianzia Borrielo, dogo Pato, Huntelaar mpaka kibabu Inzaghi..
Sawa mzee, lakini it's an injustice to the beautiful game. Mourinho haitendei haki football. Ugly stuff!!hats off for MOURINHO....surely he is THE SPECIAL ONE 2 CHAMPS LEAGUE TITLES,2 PL TITLES,2 SCUDDETTO next stop SANTIAGO B
''He always come,win and go....HE TALKS THE TALK and WALKS THE WALK''
Of course mastraika wote wa Rosso wana kiwango , ukianzia Borrielo, dogo Pato, Huntelaar mpaka kibabu Inzaghi..