Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Sawa mzee, lakini it's an injustice to the beautiful game. Mourinho haitendei haki football. Ugly stuff!!
Kivipi mzee, magoli matamu kama yale ya Milito wewe unataka yafungweje? Inter hawakucheza defence kivile ni Bayern tu wenyewe hawakumatch up kiwango cha Inter.Sawa mzee, lakini it's an injustice to the beautiful game. Mourinho haitendei haki football. Ugly stuff!!
Mpira magoli babu..........Si chenga....................Mafanikio vikombe babu.............si anao anao
Bayern bingwa............Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Uzuri wako, ukisema X bingwa basi ujuwe ni Y.....Kwahiyo Inter bingwa, si utaona.......Natumia historia yako, kila timu ukishangilia hufungwa....hahahahahha
Balantanda, nakusalimu kwa kwa heshima mkuu......Wasalimu BelindaJacob, na Masanilo....kimyakimya
Bwana wee...ila kale kandoto nilikokuambia ka 2-1 niliota kwamba Milito kafunga goli la Inter..........Bayern wamecheza vizuri dakika 30 za mwanzo,tatizo ni ufyongo katika umaliziaji.......Inter wanafanya mashambulizi ya kushtukiza........Eto'o kafinywa sana 1st half hii..................Ngoja tusubiri kipindi cha pili.....Game ni nzuri sana leo.....Inter wawe waangalifu,hawa Bayern hawatabiriki hata kidogo.....hasa pale mbele Robben,Olic,Altintop
Therefore, ndio maana mlifungwa? hahahahahahhahaahaRobben was so selfish jana! hes not a team player at all.....wanted to do everything kwenye timu.....hajui ule ukuta wa waitaliano ni balaaa kubwa
Therefore, ndio maana mlifungwa? hahahahahahhahaaha
Nilikwambia mkuu masanilo kuwa inter will win, Ilifika hatua mpaka tuka bet na BelindaJacob Sasa anahaha tu, hivi sasa ninataka nimuandikie mod am ban jamaa juma 3 na juma 4, sasa nim PM nani? Nitaambatanisha na linki ya makubaliano yangu na BelindaJacob
Tatizo lako ubishi ,jamaa rekodi yake katika huo umri hakuna kocha aliyeifikia but naona atachemsha Madrid ,expectetion iko juu sanaI must admit Mourhino is the best coach of our time! tactics zake balaaa.....hands off
Huyu jamaa ananikumbusha Ruud Van NistelrooyAlikabwa MESSI,XAVI sidhani kama Roben na Olic watafurukuta.Robben atakabidhiwa Cambiaso,OLIC atapewa LUCIO/SAMUEL.Tatizo kubwa la Bayern defence yao ni mbovu ukilinganisha na Inter ,Diego Milito kazi yake ni kuvizia beki wa Bayern wakishangaa Inter wanashinda kirahisi
Style yake sidhani kama wataipenda,then JM anasajili wachezaji ambao anenda kuwatumia ,Chelsea aliwaleta Fereira,Calvaho,Essien na Inter amewaleta Schneider,Milito,Pandev,Lucio so itabidi wachezaji wengi wauzwe.Benzema,KAKA,Raul,Higuain,ARBELOA huenda wote jamaa atawatosaKwanini achemshe Madrid? pesa ya kupata best players wanayo.....akienda kwa wale wa academy football club (arsenal) lazima aharibu mafanikio yake