demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Katika michuano ya Kombe la Mataifa barani Afrika, kwa wachezaji wa vilabu vya ndani tu.
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo itakuwa katika kibarua chake cha kwanza ikivaana na Uganda The cranes.
"CHAN live ndani ya azamtv Tanzania v Uganda moja kwa moja kutoka uwanja wa Amani ZNZ, channel namba 100 saa 2 usiku,uchambuzi saa 1:30.."
Nina Matumaini makubwa kwamba Taifa Stars itashinda hii mechi kutokana na nature ya michuano.
Ubora wa wachezaji wa ligi Kuu Tanzania ni nzuri ukilinganisha na wachezaji wa ligi Kuu Uganda.
Tukumbuke kwamba The Cranes wamekuwa wakifanya vizuri kutokana na kuwa na idadi kubwa ya wachezaji wanaocheza nje.
Tutakuwa tukipeana Updates hapa za kinachoendelea hapa.