Wamwachie Lisu na waache mambo ya utekaji waone kama uwanja hautajaa, Wanazania wengi wana majonzi kwa wapendwa wao mioyo yao imejaa majonzi.
BIBLIA MITHALI 15.17 Chakula cha mboga penye mapendano; Ni bora kuliko ng'ombe aliyenona pamoja na kuchukiana.