Tetesi: CHAN 2025 kusogezwa mbele hadi Agosti 2025

vctor123

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
215
Reaction score
153
Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti 2025.

Ingawa CAF bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo haya, kuna ripoti kwamba uamuzi umeshachukuliwa wa kuahirisha michuano hiyo hadi mwezi wa Agosti.
Screenshot_20250114-152801.jpg
==

Unconfirmed reports indicate the 2024 TotalEnergies African Nations Championship will be postponed up to August 2025.

Whereas CAF is yet to issue a statement in regard to this development, there are reports that a decision has been taken to postpone the tournament up to August.

Several reasons are cited including the hosts Kenya, Tanzania and Uganda not being ready in terms of stadiums, training facilities and other amneties.

There have been efforts by all the three aforementioned countries to have the tournament played between 1st -28th February 2025, however it has always seemed that many things were behind schedule and could not be fixed in the remaining days.

According to a source that preferred anonymity, the decision was reached on Monday after the final inspections conducted last week.

“CAF opted to have the tournament postponed because the host nations are not ready,” he said.

The source however revealed that the draw event slated for Wednesday, 15th January in Nairobi, Kenya will go on.

Source: kawowo.co

Bein Sports wameripoti

Wale wanazi wa ligi yetu tukae mkao wa kula burudani inarudi
 
Safi sana..maana mwezi wa nane tunakuwa alosto..vile vile itasaidia wachezaji kujitangaza
 
Motsepe kaingia kwenye mikono ya wanasiasa asipokuwa makini watazidi kumkwamisha.

Tumewatenga Rwanda ambao tayari wana uwanja wa kisasa kama siyo viwanja, tumeenda kukwamishwa na ambaye hayuko tayari, hapohapo tunapoteza rasilimali za nchi kwa vikao vya East African Community kumbe unafki mtupu.

Wenzetu wakipata fursa za kuandaa mashindano wanawekeza kweli kweli kwenye miundombinu, sisi tumejaa janja janja tu.
 
Watu wa CECAFA ni miyeyusho sana. Hawako serious na biashara ya mpira kabisa. Si ajabu timu zetu za Taifa na vilabu kusuasua...yaani tunajivunia Young Africans na Makolo FC😄 kufika robo, makundi, kwny CAF competitions. Nothing more. Nchi tatu kwa pamoja wanashindwa kuandaa miundombinu kweli? Huu ni umasikini wa akili sasa na sio mali....
 
Tuko tayari kutapanya fedha kwenye mambo ya hovyo ila likija suala la maendeleo tunajifanya hatuna pesa.
 
Watu wa CECAFA ni miyeyusho sana. Hawako serious na biashara ya mpira kabisa. Si ajabu timu zetu za Taifa na vilabu kusuasua...yaani tunajivunia Young Africans na Makolo FC😄 kufika robo, makundi, kwny CAF competitions. Nothing more. Nchi tatu kwa pamoja wanashindwa kuandaa miundombinu kweli? Huu ni umasikini wa akili sasa na sio mali....
Kenya naona anajenga uwanja mpya kwa nini asingekarabati Kasarani mambo yaende.
 
Ripoti ambazo hazijatibitishwa zinaeleza kwamba michuano ya 2024 ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (TotalEnergies African Nations Championship) itasogezwa mbele hadi Agosti 2025.

Ingawa CAF bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu maendeleo haya, kuna ripoti kwamba uamuzi umeshachukuliwa wa kuahirisha michuano hiyo hadi mwezi wa Agosti.
==

Unconfirmed reports indicate the 2024 TotalEnergies African Nations Championship will be postponed up to August 2025.

Whereas CAF is yet to issue a statement in regard to this development, there are reports that a decision has been taken to postpone the tournament up to August.

Several reasons are cited including the hosts Kenya, Tanzania and Uganda not being ready in terms of stadiums, training facilities and other amneties.

There have been efforts by all the three aforementioned countries to have the tournament played between 1st -28th February 2025, however it has always seemed that many things were behind schedule and could not be fixed in the remaining days.

According to a source that preferred anonymity, the decision was reached on Monday after the final inspections conducted last week.

“CAF opted to have the tournament postponed because the host nations are not ready,” he said.

The source however revealed that the draw event slated for Wednesday, 15th January in Nairobi, Kenya will go on.

Source: kawowo.co

Bein Sports wameripoti

Wale wanazi wa ligi yetu tukae mkao wa kula burudani inarudi
Unakuta nchi moja tu ya Afrika Magharibi au Kaskazini inandaa CHAN au AFCON na inafanikiwa, lakini huku Mashariki ncho tatu zinakwamisha!
 
Back
Top Bottom