Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
The Atlas/Morocco wanaandika historia ya kubeba ubingwa wa michuano ya CHAN mara mbili mfululizo.
2018 🏆
2020 🏆
Rekodi kwa miamba ya Atlas.
Baada ya kuitungua Mali 2-0 kwenye mchezo wa fainali ya CHAN, timu ya taifa ya Morocco inakuwa timu ya kwanza kutwaa taji hilo mara mbili mfululizo.
Simba hao wa milima ya Atlas, hawajafungwa mechi tangu mara ya mwisho kufungwa January, 20, 2016 dhidi ya Ivory coast.
Hongereni sana simba wa hii michuano, mumestahili sana,
I love very much Morocco team ❤