Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Morocco atachukua mara 10 mfululizo
Jamaa wa Afrika Kaskazini wako serious sana kwenye football
Hata Congo DRC wako vzuriWaarabu watapokonyana wenyewe kwa wenyewe hili kombe ubora wa ligi zao za ndani na u serious waliokuwa nao , weusi bado tunajitahidi ila kwa mbali sanaaaa
South hawezi? Mbona wana ligi nzuri tuMisri, Algeria na Tunisia ndio wataamua huu ubabe.
Morocco atachukua mara 10 mfululizo
Sie tunaiweza corona tu. [emoji23][emoji23]Waarabu watapokonyana wenyewe kwa wenyewe hili kombe ubora wa ligi zao za ndani na u serious waliokuwa nao , weusi bado tunajitahidi ila kwa mbali sanaaaa
Tanzania ipi!? au hii ya Chatooo!!?? Mtasubiri sana....Jamaa walitabiriwa tangu mwanzo
Tanzania tuna la kujifunza
Chan wao wanachagua wachezaji wa timu zao mbili vigogo tupu.. wachezaji wa morocco wametoka waydad Casablanca na raja Casablanca... sasa hizo klabu zinavyosumbua caf champions league washindwe kubeba chan ambayo nchi kama Tanzania zimechagua wachezaji wa mtibwa na mbeya city..
Yaani mshambuliaji wa waydad ama raja akabwe na beki wa mbeya city.. si uonevu huo wa wazi kama sio ubakaji wa mpira. Ni sawa na bondia heavy weight apigane na bondia light weight mwizi wa keko