CHAN live on KBC1, why not TBC1?

Ha ha ha ha ni ya Taifa mkuu, kodi zetu zile
Ila inaendeshwa kisiasa TBC na wasafi tv zimetofautiana kidogo tu.
Ifike mahara chombo kama TBC kipewe full authority ya kujiendesha na kihesabike kama muhimili mmoja wapo wa serikal na kisiingiliwe kisiasa.

Ebu angalia vyombo kama BBC jinsi vinavyo jiendesha alaf uje ulinganishe na hii ya kwetu
 
Hivi sisi tunafeli wapi?

Hata burudani inaonekana kama anasa.

Kenya wao kwanini waoneshe mda huu wapo LIVE KBC channel 1
TBC wakati inaongozwa na D.T.M. ilikuwa inonyesha mipira,hata baadhi ya mechi za EPL ilikuwa inaonyesha,wabongo Kama kawaida yao,wakamletea figisufigisu na wakamtema Tbc,mkurugenzi wa Sasa Tbc hajaipa kipaumbele mechi zionyeshwe mubashara,siasa,makongamano nk unaweza kuyaona mubashara Tbc,lakini soka mmmhh.
 
Hivi sisi tunafeli wapi?

Hata burudani inaonekana kama anasa.

Kenya wao kwanini waoneshe mda huu wapo LIVE KBC channel 1
Tbc wao kazi yao ni kumuonyesha mzee baba laivu bila chenga kwenye ziara zake na mauzinduzi ya mamiradi makubwa makubwa chana mtajiju wenyewe
 
Hivi sisi tunafeli wapi?

Hata burudani inaonekana kama anasa.

Kenya wao kwanini waoneshe mda huu wapo LIVE KBC channel 1
Angalia ZBC 2 kwenye AZAM TV, ilitangazwa mechi zitaoneshwa hapo, sasa wewe unafeli wapi? Utakuwa mzito wa kuelewa.
 
Angalia ZBC 2 kwenye AZAM TV, ilitangazwa mechi zitaoneshwa hapo, sasa wewe unafeli wapi? Utakuwa mzito wa kuelewa.
Kichwa chako na wewe hakina akili timamu na unaonekana mbinafsi, yaani wewe ukiona mpira wengine unadhani wanaona, kwa wenye Startimes na Dstv kuna ZBC 2?
Mimi nlkuwa nasema kwa ajili ya wenye visimbusi wote ambao television ya Taifa ipo at least nao wanufaike.
Mimi naangalia kupitia KBC1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…