Chana mbao kama Msumeno unamakali....

Chana mbao kama Msumeno unamakali....

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
Wazee waliokaa maporini wanaweza nisaidia hili jamani, Ubao gani unaurahisi kuchanwa?maana navyojua minginga si mchezo mazee, Mpodo huo sio mgumu sana...jamani tuchaneni mbao oooooooooooooooohhhhhhhhhhh, wewe umechana Ubao Gani mkuu?
 
mbao zingine huharibu misumeno bure na humaliza makali.....jamani misumeno yetu tuitunze na tuchague Miti ya kuchana mbao..................
 
hii labda ni kwa ajili ya wavulana pekee
 
.............kuchana mbao........:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Wazee waliokaa maporini wanaweza nisaidia hili jamani, Ubao gani unaurahisi kuchanwa?maana navyojua minginga si mchezo mazee, Mpodo huo sio mgumu sana...jamani tuchaneni mbao oooooooooooooooohhhhhhhhhhh, wewe umechana Ubao Gani mkuu?

karibu malenga wetu
 
Mbao ni mbao tu cha msingi msumeno uwe imara
 
Nilichanaga za Mnazi mzee ziko poa zinapatikana PWANI kwa wingi....
haaaa we magulumagu achga urongo wewe nguvu zako za kupasua mbao za michongoma.full stop.ushaid ninao.ukibisha ntakuumbua,
 
Sweet heart nn tena? :hug:
Nimesema mbao ni mbao tu. Msumeno ndo uwe imara kuweza kupasua mbao

Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?

Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?
 
haaaa we magulumagu achga urongo wewe nguvu zako za kupasua mbao za michongoma.full stop.ushaid ninao.ukibisha ntakuumbua,

Rose jamani wewe mbona wataka kupasua Yayi kwenye nzi wengi? Ya chumbani unataka kuyaleta hapa tena? Ule msumeno si ulikuwa majaribio bibie?Ulitoka kwa fundi mnozi, ulinolewa vibaya jamani....tunaweza piga Remix kama vipi....
 
Hivi ukipeeka sehemu za baridi kule kama Iringa zinaweza himili mikiki mikiki?

Kuna misumeno full kipupwe wewe, inaitwa all weather hii, iringa, mbeya, kilimanjaro, tanga kotekote tu inaharibu, wanaoijua wanaiita multipurpose ile....
 
Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?

Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?

wallah naingia msituni, ile misumeno iliyonolewa si inakata hadi mininga
 
Back
Top Bottom