Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 461
hii labda ni kwa ajili ya wavulana pekee
Haya jamani, mimi simo!
Wazee waliokaa maporini wanaweza nisaidia hili jamani, Ubao gani unaurahisi kuchanwa?maana navyojua minginga si mchezo mazee, Mpodo huo sio mgumu sana...jamani tuchaneni mbao oooooooooooooooohhhhhhhhhhh, wewe umechana Ubao Gani mkuu?
karibu malenga wetu
Mbao ni mbao tu cha msingi msumeno uwe imara
Mbao ni mbao tu cha msingi msumeno uwe imara
Umewahi ona mbao za mnazi?
Sweet heart nn tena? :hug:Umewahi ona mbao za mnazi?
haaaa we magulumagu achga urongo wewe nguvu zako za kupasua mbao za michongoma.full stop.ushaid ninao.ukibisha ntakuumbua,Nilichanaga za Mnazi mzee ziko poa zinapatikana PWANI kwa wingi....
Nilichanaga za Mnazi mzee ziko poa zinapatikana PWANI kwa wingi....
Sweet heart nn tena? :hug:
Nimesema mbao ni mbao tu. Msumeno ndo uwe imara kuweza kupasua mbao
haaaa we magulumagu achga urongo wewe nguvu zako za kupasua mbao za michongoma.full stop.ushaid ninao.ukibisha ntakuumbua,
Hivi ukipeeka sehemu za baridi kule kama Iringa zinaweza himili mikiki mikiki?
Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?
Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?