Duh bahati ya mtende hii Mungu anipe nini? gunia la chawa?
Uimara wa msumeno unategemea na aina mti unaujua Mninga wewe ulivyo?
Msisitizo ni uimara wa msumeno sweetheart:smile-big: Tumia msumeno imara uone mbao zinavyochanika
Tatizo unaweza kuwa na msumeno imara sana, lakini mbao nyingine zinateleza kiasi kwamba meno ya msumeno hayakati vizuri!!!!!!
Rose jamani wewe mbona wataka kupasua Yayi kwenye nzi wengi? Ya chumbani unataka kuyaleta hapa tena? Ule msumeno si ulikuwa majaribio bibie?Ulitoka kwa fundi mnozi, ulinolewa vibaya jamani....tunaweza piga Remix kama vipi....
poa mas mas ya mwakan tutaenda piga remix km siyo sapu!!!!!
Tatizo unaweza kuwa na msumeno imara sana, lakini mbao nyingine zinateleza kiasi kwamba meno ya msumeno hayakati vizuri!!!!!!
Msisitizo ni uimara wa msumeno sweetheart:smile-big: Tumia msumeno imara uone mbao zinavyochanika
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inabidi niingie tudio tena? Yasunui Yasinia zawadi hiyoooooooooooooo ya Xmass nitatangaza ile ya kula wali eti eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...na mapilau kemikemi...inaitwaje ile ambayo wathungu husema YES I DO...
poa mas mas ya mwakan tutaenda piga remix km siyo sapu!!!!!
achante!!!!!!!
achana na bacha na magogo yake yenye
that was a nice "commercial break" -- kweli ni malenga wetu.