Oversimplification hiyo.
Kuna mahusiano ya kimagharibi na ya kimashariki, hata huko magharibi na mashariki kuna mahusiano ya wasomi na wasiosoma, wasomi na wasomi na wasiosoma na wasiosoma, pia kuna mgawanyiko wa watu wa mijini na wa mashambani, halafu kuna wahafidhina na waendelevu.
Huwezi kuniambia wote wanafuata chart hiyo moja, hata price theory hiko hivyo clearcut.