Asa na wewe mkuu kweli ulienda kupanga foleni kutafuta chndarua cha bure ambacho kimewekwa dawa usiyoijua ya kummaliza mbu miaka kadhaa
Je uliuliza ni dawa gani wameweka kwenye hivyo vyandarua na kwa nini hata ikifuliwa na sabuni nguvu zake haziishio bado mbu akijingonga tuu pale anakufa
Mhhh akili kichwani mwako changanya na za kuambiwa
Asa na wewe mkuu kweli ulienda kupanga foleni kutafuta chndarua cha bure ambacho kimewekwa dawa usiyoijua ya kummaliza mbu miaka kadhaa
Je uliuliza ni dawa gani wameweka kwenye hivyo vyandarua na kwa nini hata ikifuliwa na sabuni nguvu zake haziishio bado mbu akijingonga tuu pale anakufa
Mhhh akili kichwani mwako changanya na za kuambiwa
Ni kweli mkuu,...
Nilipanga mstari kuchukua,lakini ni rahisi kuniona mimi wa ajabu sana,...
labda sikua na hela ya kununua chandarua nikafata cha bure.
Labda ninazo hela lakini napenda vya bure,....
Cha muhimu ni tuangalie wale maskini wasio kuwa na hela ya kuweza
kununua chandarua na wanapata hivi vyenye madhara,....ni haki yao?
Je,ndo kusema walishidwa kuchanganya akili zao na za kuambiwa?
Yeah,hilo ndo swala.
Labda na kama alivo sema mdau yawezekana na saikolojia inachangia pia.
Sivitaki kabisaaaa,bora kuugua malaria kuliko kuaibika
mimi nilishaachana na vyandarua siku nyingi kuna dawa ya furmigation hapa moshi inauzwa tsh 5000 ukipulizia hiyo kwenye mazalia ya mbu miezi mi 3 huoni mbu wala mende jaribu hiyo mkuu
sasa mbona hujasema inaitwaje hiyo dawa au akaulize tu dawa ya furmigation?
mkuu samahani siikumbuki jina ila naenda kuchek kopo lake nitaleta jina lake hapa
Aka naogopa kuwa shamba la mfano mie,kwan my yf wako yeye vp hajaathirika?Haha,sija fahamu hilo.
Labda utumie kisha utuambia kama kuna
changes zozote utaziona
Mkuu unamaanisha serikali hii hii ya Jk au?Mkuu tatizo hapa sio khao maskini waliopanga foleni kwenda kuchukua
Maana wao wamepewa msaada tena bure na wakaaminishwa na serikali kuwa viko salama na havina madhara yoyote kwao
Wa kulaumiwa ni hao hao serikali kwa kukubali kitu kama hicho bila kufanya utafiti wa kutosha kujua madhara yatokanayo na hizo dawa
Je zina athari gani kwa watu
Je zinakubaliana na kila mtu maana kumbuka kuna wengine wana alergy mbalimbali
Je wakitumia watapata madhara gani
Je hizo dawa reaction yake na mwili wa binadam ikoje
2pe 2pe jina la dawa ya kuuwa mmbu.