Channel 10 wananiudhi sana sasa hivi kwenye kipindi cha Je tutafika yupo jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani Brigedia hashim Mbita wanaongelea kuhusu katiba lakini nasikiia kwa taabu hata neno moja kumewekwa music wa kizazi kipya kwa sauti kubwa kabisa na hii si mara moja hata taarifa zao au vipindi vingine kama pambanua naHamza Kassongo hour au ni hujuma ya makusudi hebu channel ten jirekebisheni sio ustaarabu