Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta.

Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN.

Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ikatulazimu tu opt VPN.

Kwakifupi Mynamar dictatorial regime is equal to ccm.
 
Hapa mimi sichangii kitu, nanyamaza kimya!!!
 
Kumbe channel ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta.

Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN.

Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ikatulazimu tu opt VPN.

Kwakifupi Mynamar dictatorial regime is equal to ccm.

Tena hapa Tanzania had leo bila VPN huwezi kufungua mtandao wa Twitter.
 
Back
Top Bottom