Elections 2010 chanel ten na uchaguzi

AG

Member
Joined
Jun 11, 2007
Posts
82
Reaction score
55
Hawa jamaa matangazo yao wanafagilia chama tawala tu
 
Si hivyo tu, hawataki habari za CHADEMA hata kama CHADEMA wako tayari kutoa pesa.

SIku ya ufunguzi wa kampeni za chadema, viongozi wa juu wa chama walitaka kununua muda wa matangazo chanel 10, jamaa wa chanel 10 waliwazungusha mpaka mkutano ukamalizika.

Hawa siku yao inakuja....hiyo siku iko karibu sana kuliko wanavyodhani
 
Taarifa yao ya habari inakera
 
jamani mimi nawasalimia tu kwani ndio najitambulisha hivi
 
Hawana lolote hawa itabidi wahame nchi siku CHECHEME ikishindwa na tumeitoa maanani ndo Maana nadhani hata mwanaharakati kama General aliamua kuwakacha
 
Kwa bongo sina tv ya kuangalia kama ni kuwa objective bora nikaangalia ya makakatoon ya 301 CN Siku zaja na si nyingi watataka kuwa nasi tuwakatae!
 
Angalau TBC1 siku hizi wanaonekana fair kwa vyama vyote.
 
duh bado kuna watu wanaangalia hii chanel mi najua watu hawaangaliii kabisa.
 
Hawa jamaa matangazo yao wanafagilia chama tawala tu

Jamani kwani hamjui kuwa channel ten ilishanunuliwa na RA. yule Tramontano alishauza na yule fisadi akainunua. channel yenye nafuu kipindi hiki ni Mlimani TV
 
nasikia hiyo channel iliyopo uhindini yule fisadi papa rostam ndo anaimiliki, so msitegemee jema toka hicho kituo.
 
nasikia hiyo channel iliyopo uhindini yule fisadi papa rostam ndo anaimiliki, so msitegemee jema toka hicho kituo.

mtaanza na uhindi kisha....! kuna wakati watu wanatakiwa wafahamu wanaongea nini...!
 
nasikia hiyo channel iliyopo uhindini yule fisadi papa rostam ndo anaimiliki, so msitegemee jema toka hicho kituo.
 
Fedha zetu alizoiba kwenye Akaunti ya epa ndizo zilizonunua Habari Corporation( Rai, Mtanzania, Dimba, Bingwa na the african) na Africa media Group ( Channel ten, DTV, Magic fm na C2C) mimi niliisha acha kuangalia na kusoma vijalida vya huyu fisadi. karibuni duniani tuangalia Citizen ya kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…