kipipili JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 1,587 Reaction score 186 Sep 21, 2010 #21 Mtabe said: jamani mimi nawasalimia tu kwani ndio najitambulisha hivi Click to expand... karibu sana, tunza kadi yako ya kupigia kura, oktoba 31 mpigie kura Dr. Slaa. karibu sana
Mtabe said: jamani mimi nawasalimia tu kwani ndio najitambulisha hivi Click to expand... karibu sana, tunza kadi yako ya kupigia kura, oktoba 31 mpigie kura Dr. Slaa. karibu sana
A Anold JF-Expert Member Joined Jul 15, 2010 Posts 1,456 Reaction score 615 Sep 21, 2010 #22 wanajipendekeza kwa chama tawala ili wakumbukwe kwenye enzi yao.
B Bumela Senior Member Joined Sep 23, 2009 Posts 159 Reaction score 23 Sep 21, 2010 #23 Na hata kama atanunua vyombo vya habari vyote Utu wetu hataweza kuununua utabaki pallepale na Chadema tutaichagua na Raisi wetu Slaa atashanda tu.
Na hata kama atanunua vyombo vya habari vyote Utu wetu hataweza kuununua utabaki pallepale na Chadema tutaichagua na Raisi wetu Slaa atashanda tu.