Chanel ten na unafiki hebu angalieni

Chanel ten na unafiki hebu angalieni

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Chenel ten ni wanafiki Sana muda huu kwenye taarifa yao ya habari wamesema mambo mawili ya kinafiki.

1. Uchaguzi wa Zambia uliopita haukuwa huru na wa haki je uchaguzi wa Tanzania upi ulishawahi kuwa wa haki na mkasema wazi huu wa 2020 ndio ulitia fora kwa wizi.

(Cha kuchekesha Lungu incumbent anasema kaibiwa kura)

2. Eti wanasema edger Lungu alikuwa dictator je magufuli mbona hamjawahi kumtangaza dictator wakati udictor wa magufuli Lungu akasome.
 
Magufuri tulishamalizana nae mkuu alivuna alichokipanda
 
Wanaongopa kusema ya kwao.

#hii nchi imechezewa sana
 
Chenel ten ni wanafiki Sana muda huu kwenye taarifa yao ya habari wamesema mambo mawili ya kinafiki.

1. Uchaguzi wa Zambia uliopita haukuwa huru na wa haki je uchaguzi wa Tanzania upi ulishawahi kuwa wa haki na mkasema wazi huu wa 2020 ndio ulitia fora kwa wizi.

(Cha kuchekesha Lungu incumbent anasema kaibiwa kura)

2. Eti wanasema edger Lungu alikuwa dictator je magufuli mbona hamjawahi kumtangaza dictator wakati udictor wa magufuli Lungu akasome.
Mwisho wa siku damu ya watu ikawa juu ya kichwa chake. Akafa ndani ya miezi mitatu. Alichagua kifo ili ashinde uchafuzi. JPM
 
Chenel ten ni wanafiki Sana muda huu kwenye taarifa yao ya habari wamesema mambo mawili ya kinafiki.

1. Uchaguzi wa Zambia uliopita haukuwa huru na wa haki je uchaguzi wa Tanzania upi ulishawahi kuwa wa haki na mkasema wazi huu wa 2020 ndio ulitia fora kwa wizi.

(Cha kuchekesha Lungu incumbent anasema kaibiwa kura)

2. Eti wanasema edger Lungu alikuwa dictator je magufuli mbona hamjawahi kumtangaza dictator wakati udictor wa magufuli Lungu akasome.
Chanel ten,tbc na uhuru ni vichaa waliochangamka,wao ni wapo tu kama mazuzu wakiambiwa wainame wanainama,wakiambiwa wapigwe pi....pe wanakubali
 
Yani eti bila aibu Chanel ten wanamwita Edgar Lungu dictator lakini huku nyumbani wanamwita magufuli mzalendo khaaaa haya eti chahel ten wanasema uchaguzi wa Zambia umechezewa wanasahau uchaguzi wa kihuni uliomwingiza magufuli na Samia madarakani 2020
 
Back
Top Bottom