CHANEL ya clouds tv na vipindi vyake??

CHANEL ya clouds tv na vipindi vyake??

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,146
Reaction score
248
Huwaga niki angaliaga vipindi vyake sivielewi elewi ivi watangazaji wake na wanavyo vyaa agaa kuongea ongea huwaa na ichukia haina mpangilio maaluu na kama kipindi kilee cha bibibomba kilivyoo kuwaga ndoo uchafu mtupuu na yulee sijui babu wa mtaani dah kilikua keroo
clouds kwa radio kidogo mtaa tuburudisha but kwa tv mmmmh huwaa tuna waangalia nakuwa injoy tuu mmmh
waigeni basi ata tingaa number one lavijana???
 
Back
Top Bottom