Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Channels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TBC kama hujaripia sererekaChannels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
Tv yangu huwa haishiki TBC kabisa.TBC wako Live, pia Supersport wanaonesha
TV gan ya mganga?Tv yangu huwa haishiki TBC kabisa.
TBC wanaonyesha kwa DStv ila sijajua channel number ngapiChannels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
TV gani hiyo isiyoshika Televisheni ya Taifa... TBC ni chaneli inayopaswa kuwa kwenye kila TV... Au wewe unatumia Kisimbuzi ganiTv yangu huwa haishiki TBC kabisa.
Ya Imaam.TV gan ya mganga?
Visimbusi vyote kwangu TBC haishiki hata iweje.TV gani hiyo isiyoshika Televisheni ya Taifa... TBC ni chaneli inayopaswa kuwa kwenye kila TV... Au wewe unatumia Kisimbuzi gani
222 HD and 225 HD DSTV wanaonyeshaVisimbusi vyote kwangu TBC haishiki hata iweje.
Imam nani?Ya Imaam.
Hapa naangalia chaneli namba 222 SS Football Plus HDChannels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
Channel 222 unapata kitu hd ya ukweliChannels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
222Channels gani DSTV zinaonesha matches za AFCON 2024?
Imam HusseinImam nani?