StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Uzi tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ambao tumezoea huku hutuambii kitu kuhusu Dstv hatutoki.Dstv wapuuz tu nimelipia 37000 ila mechi wanaonesha chache sana ligi mbili tu n upuuz nimefanya Bora nirud azam
Huku wanajali movie tu mpira wa simba hata hawajaoneshaWapo ambao tumezoea huku hutuambii kitu kuhusu Dstv hatutoki.
Channel number 227 haikuonyesha?Huku wanajali movie tu mpira wa simba hata hawajaonesha
Lipa 64 elfu babu, epl zote,la liga zote,serie a zote,cafcl,cafccDstv wapuuz tu nimelipia 37000 ila mechi wanaonesha chache sana ligi mbili tu n upuuz nimefanya Bora nirud azam
Hakuna huwa naangalia info ya hizo Chanel's kwa chin na niliwapigiaLipa 64 elfu babu, epl zote,la liga zote,serie a zote,cafcl,cafcc
Apa naona mechi ya bravo na Constantine labda mchana nilipitiwaChannel number 227 haikuonyesha?
Mimi natumia babu,acha ubishi,sas hivi hapa naangalia constantine vs bravo,baada ya man u v liverpoolHakuna huwa naangalia info ya hizo Chanel's kwa chin na niliwapigia
Itakuwa. Hiyo channel ndio inaonyesha mashindano ya Africa. Sema mimi nilikuwa mtaani ndio naangalia nyumbani mechi ya BravoApa naona mechi ya bravo na Constantine labda mchana nilipitiwa
Yeah apa nimeona chanel 227 labda mchana nilipitiwaMimi natumia babu,acha ubishi,sas hivi hapa naangalia constantine vs bravo,baada ya man u v liverpool
Mechi ya yanga,simba zote mi huangalia DStv cafYeah apa nimeona chanel 227 labda mchana nilipitiwa
Hiii chanel sikujua kama ingeonesha nilikuwa najua n 225Mechi ya yanga,simba zote mi huangalia DStv caf
Taja channelMechi ya yanga,simba zote mi huangalia DStv caf