Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 118
- 124
Nacte imeorodhesha vyuo vya afya ambavyo vitatoa mafunzo kwa mwaka wa masomo 2014-2015 kwa ngazi ya cheti na stashahada.
vyuo hivyo ni vya serikali,taasisi za kidini na binafsi.
Utata unakuja kwasababu kuna baadhi ya vyuo vinatoa hayo mafunzo na havipo kwenye orodha mfano college of health pale Udom.
Na vyuo vingine vya binafsi tayari vimeshatoa form za maombi ile hali serikali(nacte)imesema maombi yafanyike kwa udahili wa pamoja (central admission system..
Sasa hapo ni utata zaidi tufuate kipi?form za vyuo au central admission system?
vipi kwa wale ambao wameshatuma maombi tayari kupitia hizo form?
ni utata mtuuupuuuu