Jeremiah Stephin
Senior Member
- Feb 6, 2014
- 118
- 124
hatari,cha msingi ni kutumia njia zote mbili.
private inajitegemea na serikali wanajitegemea ukiomba wizarani lazima ulipie 30000 nasikia na ukiomba private utawalipa ela yao.so msichanganyikiwe wadogo zangu.kila raheli na application zenu.
Nacte imeorodhesha vyuo vya afya ambavyo vitatoa mafunzo kwa mwaka wa masomo 2014-2015 kwa ngazi ya cheti na stashahada.
vyuo hivyo ni vya serikali,taasisi za kidini na binafsi.
Utata unakuja kwasababu kuna baadhi ya vyuo vinatoa hayo mafunzo na havipo kwenye orodha mfano college of health pale udom.
Na vyuo vingine vya binafsi tayari vimeshatoa form za maombi ile hali serikali(nacte)imesema maombi yafanyike kwa udahili wa pamoja (central admission system..
Sasa hapo ni utata zaidi tufuate kipi?form za vyuo au central admission system?
vipi kwa wale ambao wameshatuma maombi tayari kupitia hizo form?
ni utata mtuuupuuuu
Mkuu naomba unitumie link za vyuo vinavyotoa diploma ya udaktari vya serikali au ni-PM form za application na mie ni-apply aisee. Please, help me nina uhitaji kweli kweli. Nilimaliza form 6korandoto college of health
sengerema clinical officers training college
kam college of health
mvumi clinical officers college
bugando n.k
korandoto college of health
sengerema clinical officers training college
kam college of health
mvumi clinical officers college
bugando n.k