Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Acha tu ng'ombe ya Kenya inavuka tuta!Lol!! Kituko cha Kenya SGR
Ng'ombe ya Kenya ni athletic inapanda tuta la mchina. Itakuwa ya Mkalenjin.NG'OMBE itaisha SASA.
Poor chang'aa boiler...
Lol, stesheni ipo ndani sana. Walishindwa kujenga viaduct kwenda CBDDah huyu abiria ameeleza vizuri umbali na changamoto za stesheni ya SGR Syokimau Nairobi Terminus kuwa mbali toka Nairobi na ni "ndani ndani kabisa "
Too much cowness in one picture
Poor chang'aa boiler...