changamkia hii... how to make money online for free

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
je ungependa kutengeneza pesa online wakati ukiwa unaperuzi internet?? ni bure na rahisi mno
-no credit card needed
-no bank account details needed

bofya hapa

[url]http://signup.wazzub.info/?lrRef=d56aa5e9
[/URL]
hafu fuata maelekezo mpaka mwisho na kumbuka kutembelea email yako kila wakati kupata updates

 
Ndugu yangu, wizi wa nini? JF siyo sehemu ya kutapeli watu. Waweza fikiri shughuli halali ya kufanya na ukafanikiwa, hakuna sababu ya kufanya utapeli.

Any way, goodluck
 
Hili jamvi lina watu wenye akili timamu na ufahamu usidhani ni mahali unaweza kuleta issues zako za utapeli na watu wakakuvumilia! Ebu kuwa mstaarabu!
Au isije kuwa wewe umeshatapeliwa tayari unatafuta wa kukusaidia! Sawa mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kuuumbe! unataka tu make you a favour ili uongeze mipoints!
hapa umegonga mwamba nenda ka try facebook hapa ni JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…