Car4Sale Changamkia starlet kwa bei poa kabisa

LARRYBWAY

Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
82
Reaction score
5
Nisingependa kuwa muongeaji sana wa Tangazo hili, bali ningependa nikupe nafasi ya kuweza kupata kile kilicho bora na imara zaidi(Roho ya paka) na kuepukana na ghasia za mwendokasi na madalala.

kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, gari iko katika mazingira mazuri kabisa, haina shida, full kipupwe-A/C, Vibali vyote vimelipiwa, tairi mpya na haijatembea umbali mrefu.

Toyota Starlet Carat

Bei inaanzia Tsh 6,500,000/= mazungumzo yapo.

Kwa mawasiliano nicheki kupitia 0717 54 73 25.

Wote Mnakaribishwa.
 

Attachments

  • c1.jpg
    58.5 KB · Views: 121
  • c2.jpg
    60.9 KB · Views: 124
  • c3.jpg
    58.3 KB · Views: 121
  • c4.jpg
    52.7 KB · Views: 128
Mhuuuuh Starlet nusu mkate milioni sita na nusu haya bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…