Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Habari wana economics?
Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi.
Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku DSM, kwamba wanakaribia kuuza pikipiki zilizotelekezwa na watu vituoni (Bila shaka huwa mnaziona zilivyo jazana kwenye yadi zao vituoni)
Sasa hizo mashine huwa zinauzwa laki 2 mpaka 3. Zinahitaji tu marekebisho kidogo sababu ya kukaa muda mrefu kisha zinaingia barabarani.
Fuatilieni Hilo Dili huwa ni la kila mwaka...
PM sihitaji mtu, sina taarifa zaidi ya hii