Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Nenda kwao uwahoji hayo maswali.. polisi akishakuandikia statement kuhusu hicho chombo sidhani polisi mwingine atakukamata, labda kwa makosa mengine.Watanipa kadi yenye usajili wenye jina langu?
Kuhusu hili utaratubu upoje kwa wazoefu wa minada ya mali zilizotaifishwa.
Mali za mnada zina utaratibu wake ukiuziwa unapewa certificate itakayokuruhusu kufanya transfer TRAWatanipa kadi yenye usajili wenye jina langu?
Kuhusu hili utaratubu upoje kwa wazoefu wa minada ya mali zilizotaifishwa.
habari wana economics?
Kuna ishu moja nataka ku share na nyie kwa mtakaoona inafaa mnaweza fanyia kazi.
Nimetonywa na mdau wangu alieko kitengo flani cha Polisi huku Dsm, kwamba wanakaribia kuuza pikipiki zilizotelekezwa na watu vituoni (Bila shaka huwa mnaziona zilivyo jazana kwenye yadi zao vituoni)
sasa hizo mashine huwa zinauzwa laki 2 mpaka 3. zinahitaji tu marekebisho kidogo sababu ya kukaa muda mrefu kisha zinaingia barabarani.
Fuatilieni Hilo Dili huwa ni la kila mwaka...
Pm sihitaji mtu sina taarifa zaidi y hii
Endelea kufunga mkuu biashara waachie wafanyabiashara.Kwa upande wangu ni biashara isiyo na baraka za mungu. Kwa sabab si kila aliyekamatiwa chombo chake karidhika yuaumia nafsin mwake kwa kushindwa kukikomboa
Kaa hivyo hivyoKwa upande wangu ni biashara isiyo na baraka za mungu. Kwa sabab si kila aliyekamatiwa chombo chake karidhika yuaumia nafsin mwake kwa kushindwa kukikomboa
ππππ wee jamaa chizi kweli yaani.Endelea kufunga mkuu biashara waachie wafanyabiashara.
Endelea kufunga mkuu biashara waachie wafanyabiashara.