x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo zoeleka hatimaye na yeye kupata ujuzi mkubwa katika tasnia hiyo Je,mtu huyo anaweza akawa fundi mtaani yeye kama yeye bila kuwa na cheti kinacho thibitisha utaalam wake au kuna sheria ambayo inamzuia mtu huyo kufanya ufundi pasi na cheti?Nakama sheria kama hiyo ipo je,mtu huyo atumie njia ipi mbadala itakayo mwezesha apate cheti cha uthibitisho wa utaalam wake bila kwenda kuchukua mafunzo katika chuo cha ufundi kwani ujuzi tayari anao ila tatizo hana cheti.