CHANGAMOTO GANI ULISHAWAHI KUKUTANA NAYO KAZINI.

Mwanyasi babu mzee kikongwe@asprin na Numbisa

mnaharibu huu uzi nendeni Makapuku forum kule muendeleze ligi yenu.

alafu wewe numbisa usinifananishe na wanaume wa dar ambao wanaogopa kukamata kuku. mxiuu

alafu wewe asprini ushazeeka mpaka naniliu inasimama kama ina kifafa. embu acha zako ujue nakuheshimu sana ila unavuka mstari mwekundu
 
Mwanaume wa dar una mipasho aisee sauti imekulegea kama umekula kungu manga
 
Alleppooo tuma salamu kwa watu watatu. Uzi upo chit chaaaattt
 
Reactions: BAK
komaaaaa, utakufaaa wewe!!!!!
 
Kupendwa kimapenzi na Boss Wangu.....nikamkwepa, halafu nikatengeneza urafiki na mkewe bila yeye kujua. ....kumbe keshakula wengi tu pale ofisini. ...kutokana na maelezo ya mkewe.
 
Kupendwa kimapenzi na Boss Wangu.....nikamkwepa, halafu nikatengeneza urafiki na mkewe bila yeye kujua. ....kumbe keshakula wengi tu pale ofisini. ...kutokana na maelezo ya mkewe.
Alikula na wewe?
 
Hahaaaaa
Kwenye intaviu ndio niliipandika kinoma
Nilishindwa kusema 2016 kwa ingilishi nikasema Twenty &Sixteen HR akafwa kwa kicheko..
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…