Wewe numbisa umesha shindikana hufai ata kupasha kiporo au kutengenezewa kachumbari.
MIMI SIO MWANAUME WA DAR
salamu zangu zote tatu natuma kwa wale wote wasionipenda...
Hongera umeolewa saizi?Hapana hakufanikiwa. ....alibakia kunipendelea kwenye kazi. ....nisije muharibia kwa mkewe.
Oh mamma miaaa!!!Mwanaume wa dar una mipasho aisee sauti imekulegea kama umekula kungu manga
Alleppooo tuma salamu kwa watu watatu. Uzi upo chit chaaaatttView attachment 518376