The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Oct 19, 2024 #1 Uhakiki wa taarifa ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali zinazokuwezesha kujua uhalisia wa taarifa au jambo husika. Ni changamoto gani unazokutana nazo unapohakiki taarifa kutoka mtandaoni na hata nje ya mtandao?
Uhakiki wa taarifa ni mchakato unaohusisha hatua mbalimbali zinazokuwezesha kujua uhalisia wa taarifa au jambo husika. Ni changamoto gani unazokutana nazo unapohakiki taarifa kutoka mtandaoni na hata nje ya mtandao?
T the guardian 17 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 395 Reaction score 570 Oct 21, 2024 #2 Kujua picha imepigwa lini?
The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 896 Reaction score 1,427 Oct 26, 2024 Thread starter #3 the guardian 17 said: Kujua picha imepigwa lini? Click to expand... Ukijua picha imepigwa lini inasaidia kuondoa utata unaoweza kujitokeza
the guardian 17 said: Kujua picha imepigwa lini? Click to expand... Ukijua picha imepigwa lini inasaidia kuondoa utata unaoweza kujitokeza