Changamoto itakua ni nini? Kila nikiingia ajira portal naandikiwa hivi

sanfa

Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
34
Reaction score
40
1000262340.jpg
 
Kuwa makini na kutunza taarifa Zako muhimu hiyo email yako umeiweka uchi sana.

Nimejaribu kuingia ajira port kwangu imekubali! Hebu jaribu ku log in kwa kutumia search engine ... Usitumie app!
 
Email inashida gani??
 
Rule no 1: Don't expose your personal information.

Suluhisho: Tafuta computer (Desktop au Laptop), tumia browser kuingia badala ya application. Mara nyingi application huwa zinakuwa na changamoto za hapa na pale.
 
Rule number 1 ... I agree with you 💯
 
Ni new member ndiyo maana unaweka taarifa zako wazi sana
 
Back
Top Bottom