LGE2024 Changamoto katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Wanavyuo

LGE2024 Changamoto katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Wanavyuo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Kai_andrew

New Member
Joined
Oct 10, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je!

Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na hii changamoto kwa wanachuo ambayo katika kipindi hiki Cha uandikishwaji katika daftari la wapiga kura wanavyuo wako majumbani

Lakini kipindi ambacho ni cha kupiga kura wanavyuo watakuwa vyuoni na ikizingatiwa mtu anapiga kura mahali alipojiandikishia?
 
Back
Top Bottom