KERO Changamoto kubwa ya maji kata ya Masagalu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Moudy jr

New Member
Joined
Aug 23, 2024
Posts
2
Reaction score
2
Jaman hii shida iko mkoa wa Tanga wilaya ya Kilindi kijiji cha Masagalu kata ya Masagalu, wanawake wanaumia kwa ukosefu wa maji, maji yenyewe ni ya shida na yako mbali. Hivi hawa viongozi wanafanya kazi gani?

 
Huko ndiko mnapokata mauno ya kukubalika kwa chama sasa muendelee kukata mauno hadi mfe na kiu mkifa akili zitawakaa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…